Luke 6:27-28

27 a“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28 bWabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.
Copyright information for SwhKC